you touch africa

 

you touch africa

Touching Africa - Changing lives

Chakula cha Shule

 

Home

 

About Us

 

Projects

 

Achievements

 

History

 

Donations

 

Fundraising

 

Contact

 


Mradi wa Uboreshaji wa Chakula cha wanafunzi wa Shule ya Msingi Makomu

School lunch

Tofauti ya mradi huu na miradi mingine inayohitaji fedha ya mkupuo, kama ukarabati wa majengo, usafirishaji wa vifaa, nk., fedha ya kuboresha chakula itahitajika mwaka hadi mwaka.

Faida

Tunaamini kwamba kuwapa chakula bora wanafunzi wa shule, sio tu kutatua njaa bali pia kuleta yafuatayo:

  • Kunyanyua afya na elimu ya watoto
  • Kutia changamoto katika uchumi wa maeneo ya kijijini
  • Kuwapa moyo wazazi kuendelea kutoa mchango wao wa mahindi kama inavyotakiwa
  • Kuongeza mauthurio ya shule kadri watoto watakavyo zoea chakula kizuri


Mfadhili Mkuu:
Name: Mr Wilbert Derks
Company: Howrey LLP Amsterdam
E-mail:

Rudi

 

 
           
 

Juu