you touch africa

 

you touch africa

Gusa Afrika - Badili maisha

Historia Yetu

 

Yaliyomo

 

Kuhusu Sisi

 

Miradi

 

Historia

 

Michango

 

Uchangiaji

 

Mawasiliano

 


Historia

 

You Touch Africa ni chama kipya chakujitolea. Kamati Tendaji imeundwa na watu wenye uzoefu mkubwa katika kukusanya fedha na vifaa kwa ajili ya Africa. Nisehemu ya kikundi kilichokusanya fedha mwaka 2002 kwa ajili yakukarabati Hosipitali ya Makomu Kaskazini mwa Tanzania

 

Kabla ya ukarabati, hosipitali, ilikuwa na paa lililooza, lilivuja kila mahali, waya za umeme mbovu, na msingi ulopasuka nyufa.

Hosipitali kabla ya kukarabariwa  Hosipitali kabla ya kukarabariwa  Hosipitali kabla ya kukarabariwa

Hela ilikusanywa baada ya Padre Arbo Lekule, mzaliwa wa Makomu, kuongoza kikundi cha watu watano kupanda mlima Kilimanjaro, tamasha la mziki London na jitihada nyinginezo.

Upandaji Mlima Kilimanjaro

Hella ilokusanywa iliwezesha kukamilisha ukarabati ulofanywa na wenyeji wa Makomu mwaka 2003.

Hosipitali ikifanyiwa ukarabati

Baada ya kuweka paa jipya, jengo zima lilikarabatiwa na vifaa vipya kununuliwa.

Hosipitali baada ya ukarabati  Hosipitali baada ya ukarabati

Hosipitali sasa ina paa jipya, sakafu, msingi na rangi mpya, pamoja na vitanda vipya. Inahudumia wananchi wa eneo lote.

Hosipitali baada ya ukarabati  Hosipitali baada ya ukarabati

 

 
           
 

Juu