you touch africa

 

you touch africa

Gusa Afrika - Badili maisha

Uchangiaji

 

Yaliyomo

 

Kuhusu Sisi

 

Miradi

 

Historia

 

Michango

 

Uchangiaji

 

Mawasiliano

 


Matukio ya Uchangiaji

 

Matukio kadhaa ya mikakati yetu ya uchangiaji...

 

Bofya kukuza  Bofya kukuza  Bofya kukuza

Julia Reynders alikimbia na kumaliza mbio za Marathon za London ya 2008 kwa ajili ya kuikusanyia You Touch Africa fedha za miradi. Fedha hizo zitatumika kwa ajili ya kulikarabati paa la Shule ya Msingi Makomu, Tanzania.

Bofya kukuza  Bofya kukuza  Bofya kukuza

Bofya kukuza  Bofya kukuza

Shule ya Secondari ya Mtakatifu Luka, Sidcup, UK, ilichangia vitabu na vifaa vya maabara kwa ajili ya shule za Africa.

Bofya kukuza  Bofya kukuza

Bofya kukuza  Bofya kukuza

Kwa jitihada za mwalimu Lorraine Shakesheff, Shule ya Secondari ya Mtakatifu Luka, Sidcup, UK, ilifanikiwa kukusanya zaidi ya £2,000 kwa ajili ya kusaidia Shule ya Usukaji na Ushonaji iliyoko Africa..

Kama unamikakati yeyote ya kuisaidia You Touch Africa na ukapiga picha, zitume kwetu na tutazichapisha hapa!


 
           
 

Juu